IMG_0086

Dirisha la udahili wanachuo wapya kwa Aprili 2026 limefunguliwa kwa ngazi ya cheti na diploma kwa mwaka wa masomo 2026/2027, sifa za mwanachuo kujiunga na chuo cha ualimu.

  1. DIPLOMA YA UALIMU ELIMU MSINGI

Sifa za kujiunga na Kozi hii:

  • Awe na UAlimu ngazi ya cheti cha Daraja la III A au
  • Awe na cheti cha kidato cha sita DIV I – II

            Muda wa Mafunzo

  • Mafunzo hay ani ya miaka miwili (2)
  • Masomo yanatolewA kuanzia Asubuhi kwa Walimu wasio makazini na join Kwa walimu walio makazini kuanzia Saa 10 Jion.
  1. UWALIMU ELIMU AWALI, MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA WATOTO WADOGO NGAZI YA CHETI.

Sifa za kujiunga na Kozi hii:

  • Muhitimu wa kidato cha Nne mwenye ufaulu wa Pass Nne.

              Muda wa Mafunzo

  • Mafunzo ni yam waka 1
  • Mafunzo haya yanatolewa kuanzia Asubuhi.
  1. UWALIMU ELIMU AWALI, MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA WATOTO WADOGO NGAZI YA DIPLOMA.

Sifa za kujiunga na Kozi hii:

  • Awe na cheti cha Ualimu Elimu awali, malezi makuzi na maendeleo ya Watoto wa Dogo.

              Muda wa Mafunzo

  • Mafunzo ni yam waka 2
  • Mafunzo haya yanatolewa kuanzia Asubuhi kwa walimu wasio makizini.
  • Na Jioni kwa walimu walio makazini.
  1. MAFUNZO YA MALEZI, MAKUZI NA MAENDELEO YA WATOTO WADOGO YANAYOSIMAMIWA NA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNZI MAALUMU.

Sifa za Kujiunga na mafunzo haya:

  • Awe muhitimu wa kidato cha 4.

Mafunzo hay ani ngazi ya cheti na yanatolewa kwa mwaka 1 masomo ni kuanzia Asubuhi.

  1. TUNATOA KOZI YA KOMPYUTA

Tunatoa mafunzo kwa program zifuatazo:

  • Art and Design miezi minne (4)
  • Computer Application miezi miwili (2)
  1. Tunatoa mafunzo ya English course, pia ni klituo kwa nanaortudia mitihani ya kidato cha II, IV na Vi

Ebonite©2025. By Muu Tech. All Rights Reserved.

Scroll to Top