WANACHUO WOTE WANAOFANYA MAFUNZO KWA VITENDO WANAPASWA KUZINGATIA MAMBO HAYA MUHIMU
UMELIPA ADA YA AWAMU ZOTE KWA WANACHUO WANAOMALIZA MUDA WAO WA MASOMO
UMELIPA PESA YA BTP NA KUKABIDHIWA VIFAA
KULIPOTI KATIKA VITUO VYA KAZI KWA WAKATI KABLA NA BAADA YA KUFANYIWA UTAHINI
KUVAA SARE ZA CHUO MUDA WOTE UWAPO KATIKA ENEO LA KAZI
KUZINGATIA MAADILI NA SHERIA ZA TAASISI HUSIKA
KUHAKIKISHA UMETAHINIWA WALAU MARA MBILI NA WAKUFUNZI
KUTOKUJIHUSISHA NA VITENDO VYOVYOTE VYA UVUNJIFU WA MAADILI NA TARATIBU ZA CHUO
ANGALIZO:
mwanachuo yoyote asiekamilisha michango yake kwa wakati hata ruhusiwa kufanya mafunzo kwa vitendo BTP ambapo itapelekea kuwa discontinue na masomo
mwanachuo yoyote atakaye sitisha mafunzo kwa vitendo atawekewa alama ya “INCOMPLETE” itakayopelekea mwanachuo huyo kurudia mwaka kwa wanaochuo wa kozi za ualimu elimu ya awali ODECDE & ECCD
kwa wanachuo wa kozi za ualimu elimu msingi DPE hawataruhusiwa kufanya mtihani wa Taifa kwa wasio kamilisha mafunzo haya ya vitendo
NB: wakufunzi wanapaswa kuwa makini na kufatilia kwa ukaribu na kuchukua hatua kwa wanachuo walioshindwa kufanya mafunzo haya kwa vitendo kwa kufuata taratibu na sheria za chuo.
.
To Become a Leading Centre of Excellence for Knowledge, Skills and Applied Education in Science and Technology